Mama WA ukwel. Love u much
Published with Photo Blogger for Windows Phone.
safiri salama na happy nation Furahia safari yako,coz tuna kujali.mizigo mipya full ic system charg na vitu vingine kibao ukisindikizwa na move lainii enjoyππ
Published with Photo Blogger for Windows Phone.
SAFILI SALAMA NA HAPPYNATION LUXURY MBY DAR KILASIKU KWA MAWASILIANO ##0764829595&0768343092 WE TAKE YOU THERE IN TIME®✔
Published with Photo Blogger for Windows Phone.
nakupenda xana mama b we ndo kila kitu kwangu. Umenifunza mambo mengi na PIA umensaidia vitu ving ,sina cha kukulipa ILA nakuombea mungu akupe heri na miaka mingi mama b
Published with Photo Blogger for Windows Phone.
katika maisha yangu cjapenda kukata tamaa na pia ninapo shindwa ninamuomba mungu ili anipe maarifa ® mungu endelea kuwa nam nyakati zote za maisha yangu amen
Published with Photo Blogger for Windows Phone.
e mungu muumba WA vitu vyote na ukamuumba mwanadam kwa mfana Wako endelea kumlinda mwanangu kipenz Lilian kwakua umemlinda toka akiwa mgonjwa sana kwa uwezo Wako Wako Lilian Ni mzima endelea kufanya miujiza mungu wetu WA upendo
Published with Photo Blogger for Windows Phone.
Nakupenda xana mamkubwa ww nikila kitu kwangu na umenisaidia mambo mengi xana ,nakuombea kwa Allah akupe maisha malefu ili uje ule matunda yangu☝☝☝☝
Published with Photo Blogger for Windows Phone.
Katika kutafuta maisha haitakiwi kukata tamaa πinatakiwa tumuombe mungu na huku tukionesha Nia pasipo nia na kuto mshilikisha mungu mafanikio hayawez onekana kamwe
Published with Photo Blogger for Windows Phone.
Maeneo flan IV $$$$$amazing
Published with Photo Blogger for Windows Phone.
nashukulu mungu kwakunipa upendeleo wakuwepo mpakasiku ya Leo
Published with Photo Blogger for Windows Phone.
Mtoto wangu kipenzi na ndoananipa stress za kutafuta maisha kwa namna yoyoteπππmungu akupe maisha marefu na yenye heri
Published with Photo Blogger for Windows Phone.
Uyu ndo mlez wangu ninampenda xana bibi yangu kwasababu kanifunza mambo menguπππnakunifariji kwa kuniombea dua
Published with Photo Blogger for Windows Phone.
Nisiku ambayo nimeenda ileje bila msaada wowote na sikua na ndugu wakunisapoti.kwa kudra za mwenyez mungu nikafanikisha zoez langu
Published with Photo Blogger for Windows Phone.
Na uyo ndo mamangu ninampenda xana mamangu kwasababu kanilea mm na kamlea mtoto wangu mpaka siku ya leoπππnakupenda xana mama baraka mamaangu WA ukweli
Published with Photo Blogger for Windows Phone.
Hii ndo dam yangu ndo mamangu WA pili na ninamoenda kushinda kitu chochote.na nipo tayal kwa lolote kulingana na ninavyo mpendaa πππ
Published with Photo Blogger for Windows Phone.
Namshukulu mungu iyo picha nilipiga nikumbukumbua yangu ya siku nikiwa na angaika kubadili syestim ya maisha yangu na namshukulu mungu nilifanikiwa kwa iloπashukuliwe mungu alie haiπ
Published with Photo Blogger for Windows Phone.
Mic u much my frends☝☝☝☝☝:):):):god blessπππ
Published with Photo Blogger for Windows Phone.
Kichwa ngum katika ubora wakee☝☝☝☝☝☝ love u much♥♥♥♥♥♥☝
Published with Photo Blogger for Windows Phone.
Kichwa ngum katika ubora wakee☝☝☝☝☝☝ love u much♥♥♥♥♥♥☝
Published with Photo Blogger for Windows Phone.
Maisha ni jinsi unavyo. Ishi ππinatakiwa tufanye Yale yanayo mpendeza mungu♥♥♥♥♥
Published with Photo Blogger for Windows Phone.