Published with Photo Blogger for Windows Phone.
Mtoto wangu kipenzi na ndoananipa stress za kutafuta maisha kwa namna yoyote💕💕💕mungu akupe maisha marefu na yenye heri
Published with Photo Blogger for Windows Phone.
Uyu ndo mlez wangu ninampenda xana bibi yangu kwasababu kanifunza mambo mengu👆👆👆nakunifariji kwa kuniombea dua
Published with Photo Blogger for Windows Phone.
Nisiku ambayo nimeenda ileje bila msaada wowote na sikua na ndugu wakunisapoti.kwa kudra za mwenyez mungu nikafanikisha zoez langu
Published with Photo Blogger for Windows Phone.