safiri salama na happy nation Furahia safari yako,coz tuna kujali.mizigo mipya full ic system charg na vitu vingine kibao ukisindikizwa na move lainii enjoy👆👆
Published with Photo Blogger for Windows Phone.

SAFILI SALAMA NA HAPPYNATION LUXURY MBY DAR KILASIKU KWA MAWASILIANO ##0764829595&0768343092 WE TAKE YOU THERE IN TIME®✔
Published with Photo Blogger for Windows Phone.
nakupenda xana mama b we ndo kila kitu kwangu. Umenifunza mambo mengi na PIA umensaidia vitu ving ,sina cha kukulipa ILA nakuombea mungu akupe heri na miaka mingi mama b
Published with Photo Blogger for Windows Phone.
katika maisha yangu cjapenda kukata tamaa na pia ninapo shindwa ninamuomba mungu ili anipe maarifa ® mungu endelea kuwa nam nyakati zote za maisha yangu amen
Published with Photo Blogger for Windows Phone.
e mungu muumba WA vitu vyote na ukamuumba mwanadam kwa mfana Wako endelea kumlinda mwanangu kipenz Lilian kwakua umemlinda toka akiwa mgonjwa sana kwa uwezo Wako Wako Lilian Ni mzima endelea kufanya miujiza mungu wetu WA upendo
Published with Photo Blogger for Windows Phone.
Nakupenda xana mamkubwa ww nikila kitu kwangu na umenisaidia mambo mengi xana ,nakuombea kwa Allah akupe maisha malefu ili uje ule matunda yangu☝☝☝☝
Published with Photo Blogger for Windows Phone.
Katika kutafuta maisha haitakiwi kukata tamaa 🎈inatakiwa tumuombe mungu na huku tukionesha Nia pasipo nia na kuto mshilikisha mungu mafanikio hayawez onekana kamwe
Published with Photo Blogger for Windows Phone.