lilianbarakaj
Saturday, 18 June 2016
Mama baraka

Na uyo ndo mamangu ninampenda xana mamangu kwasababu kanilea mm na kamlea mtoto wangu mpaka siku ya leo💕💕💕nakupenda xana mama baraka mamaangu WA ukweli
Published with Photo Blogger for Windows Phone.
My lover lilian

Hii ndo dam yangu ndo mamangu WA pili na ninamoenda kushinda kitu chochote.na nipo tayal kwa lolote kulingana na ninavyo mpendaa 💕💕💕
Published with Photo Blogger for Windows Phone.
Sita dahau👇

Namshukulu mungu iyo picha nilipiga nikumbukumbua yangu ya siku nikiwa na angaika kubadili syestim ya maisha yangu na namshukulu mungu nilifanikiwa kwa ilo👆ashukuliwe mungu alie hai👏
Published with Photo Blogger for Windows Phone.
Subscribe to:
Posts (Atom)